Yapo mambo mengi ambayo yamefanyiwa utafiti na wataalamu mbalimbali duniani kuhusu matumizi ya pombe na kueleza athari zake kiafya, kijamii, kiuchumi na hata kisaikolojia. Leo March 23, 2018 kutoka AYO TV na millardayo.com tumekuandalia nini kinafanyika kwenye ubongo wako, pindi unapokuwa umekunywa pombe.