Leo June 2, 2018 Utafiti umeonyesha kuwa sauti ya muziki huathiri aina ya chakula ambacho huagizwa katika migahawa.
Katika utafiti uliofanywa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Florida, imeonekana kuwa wateja hupendelea kuagiza vyakula kama kachumbari na vile viisvyokuwa na mafuta pale muziki wenye sauti ndogo unapopigwa.
Na pale muziki wenye sauti kubwa unapopigwa basi vyakula kama burger na chips huagizwa kwa wingi.
Utafiti huo umefanywa katika moja ya mgahawa nchini Sweden.