Leo August 6, 2018 Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) mkoani Mbeya wametoa semina kwa wajasiriamali katika maonesho ya Nanenane ambayo yamefanyika mkoani humo nakuwaeleza hatua amabazo zitawasaidia kupata usajili wa bidhaa bure.
Akizungumza na AyoTV Mkaguzi wa Chakula TFDA, Peter Nyamaumbo amesema wao kwa kushirikiana na TBS wamejiapanga kurahisisha Wajasiriamali kupata usajili kwa haraka na bila usumbufu pale tu watakapoanza kwa kujisajili SIDO.
Kutii agizo la JPM mabingwa wa uzalishaji Viazi wakutanishwa Mbeya