Mkuu wa wilaya ya Arumeru Jerry Muro amefanya ziara ya kushtukiza katika barabara ya mchepuko Arusha Bypass katika eneo la Muungano Makumira na kubaini uwepo wavitendo vinavyoashiria ukiukwaji wa taratibu za kazi na haswa katika kazi zinazofanywa na raia kutoka nje.
Muro Pamoja nakuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa barabara hiyo itakayosaidaia kupunguza msongamao wa magari kuelekea Jijini Arusha ameonyeshwa kukerwa na tabia ya baadhi ya wageni kufanya kazi zinazoweza kufanywa na watanzania jambo linaloendela kuminya fursa ya vijana wa kitanzaia kupata ajira.
https://youtu.be/FlOgbj3wG-4
Bulaya “Nimetengenezwa CCM, Waitara hajawahi kuwa shupavu, ni mpenda vyeo”