Leo August 28, 2018 Mkurugenzi wa fedha na Mipango katika hospitali ya Rufaa Bugando mkoani Mwanza, Mtawa Suzan Bathlomeo amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka ghorofani.
Mtawa huyo alijirusha muda mfupi baada ya kutoka kusali misa ya saa 12:00 asubuhi leo Jumanne Agosti.
Kamanda wa Polisi Mkoani Mwanza, Jonathan Shana amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema taarifa kamili itatolewa na Polisi hapo baadaye.
Anaegombea Jimboni kwa Lowassa “Nimeambiwa nitang’olewa kucha, niko tayari kutekwa”
https://youtu.be/ZybR11WrNGU