Baada ya kituo cha Pamoja cha Forodha cha mpaka kati ya Tanzania na Zambia kuanza rasmi kutumika good news iliyotangazwa leo na Benki Kuu ni kuwa Magavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga na Benki ya Zambia, Dkt. Denny Kalyalya watatia saini makubaliano kuhusu matumizi ya fedha za nchi mbili za Tanzania yaani Shilingi na ile ya Zambia yaani Kwacha ili ziweze kutumika katika Miji ya Tunduma na Nakonde.