Ikiwa imepita miezi miwili tangu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola kuagiza pikipiki zote zinazotumika kusafirisha abiria zifungwe tela katika kile kinachoaminika kudhibiti wimbi la ajali za bodaboda, Tayari kazi imeanza kama inavyoelezwa na Katibu mkuu wa Wizara hiyo Meja Jenerali Jacob Kingu
Watuhumiwa watatu wa ujambazi walivyouawa Dodoma wakiwa na bunduki