Bado naendelea kukusogezea story kutoka Ukara Wilayani Ukerewe ambapo AyoTV na millardayo.com imeongea na muhudumu wa nyumba ya kulala wageni Kijiji cha Bwisya eneo ilipotokea ajali ya Mv. Nyerere.
Anaitwa Mary ambaye ni Msimamizi wa Guest anatuambia siku zote toka tukio litokee vyumba vyote katika sehemu hiyo vilikuwa vinajaa tofauti na awali.
Mzamiaji, afunguka walivyomuokoa Fundi Mkuu akiwa hai ‘alipewa chai majini’