Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amevitaka Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuchukua taadhari kwa kutowasumbua watanzania wanaoishi katika maeneo yanayopakana na wakimbizi kwakumuona kila mtu ni Mrundi na sio Mtanzania na kila wakati kudai kitambulisho kwa lengo ya kujipatia pesa kwa njia isiyo halali.
Hayo ameyaongea akiwa Wilayani Buhigwe mkoani Kigoma na kusema wakibainika watachukuliwa hatua.
Mzamiaji, afunguka walivyomuokoa Fundi Mkuu akiwa hai ‘alipewa chai majini’