Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, amefika katika wilaya ya Karagwe na kuongea na wananchi ambapo mbele ya wananchi amemuahidi Mbunge wa Jimbo hilo zaidi ya Bilioni 1 kwa ajili ya miradi ya maendeleo.
“Mnataka Serikali inunue madeni yenu, mtakwenda jela” – Waziri Mkuu