Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro ameyazungumzia maagizo aliyoyatoa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola juu ya suala la dhamaba ambapo amesema sio kila kosa lina dhamana na kwamba askari atakayeshindwa kutoa dhamana kwa mujibu wa sheria atakauwa hafahamu wajibu wake.
IGP Sirro amesema tayari ameshapokea agizo ya Waziri Lugola kuhusu mabasi ya abiria kuanza kusafiri saa kumi na moja alfajiri nakusema atakaa na wadau ili kuliangalia suala hilo.
DIWANI CHADEMA: Kakaa Jela Miezi 10 kafunguka ”Nilionewa”, Bonyeza play hapa chini kutazama