Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma Gilles Muroto kwa kushirikiana na Askari Polisi wa mkoa huo amefanya ziara ya ukaguzi wa ghafla katika baadhi ya barabara mkoani humo ikiwemo Chamwino na kuwakamata madereva waliokuwa wakivunja sheria za usalama barabarani.
“Mnafamilia, Serikali inawahitaji hatutaki mpoteze maisha, inawezekana hii haiwapendezi kwasababu mmekamatwa msitulaumu kwasababu tunasimamia sheria ”-Kamanda wa Polisi Dodoma Gilles Muroto
Kauli ya Dr. Tulia baada ya Mbunge mpya kusimama kuchangia