Leo December 18, 2018 Tunae aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga amesimulia kitu ambacho hawezi kusahahu wakati akifanya kazi kwenye ndege za Serikali.
Kamanda Mpinga anasema kuna siku wakiwa ndani ya ndege na Rubani akitaka kutua ndege iligoma kutoa matairi.
KIKOKOTOO KIPYA CHA MAFAO SSRA YATOA UFAFANUZI WA KINA “MKUPUO ASILIMIA 25”