Watuhumiwa 12, wakiwemo Wafanyabiashara wanne wanaotuhumiwa kutorosha madini na Askari nane Wanaotuhumiwa kutaka Rushwa ya Bilioni 1 mwanzoni mwa January wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi na kesi kuahirishwa hadi February 11, mwaka huu.
ZAIDI YA TRILIONI 1 ZITAJENGA BWAWA LA MAJI DODOMA