Mbunge wa Chemba Juma Nkamia ameingia tena kwenye headline kutokea Bungeni Dodoma baada ya kutoa hoja kwa mara nyingine ili Bunge liridhie ukomo wa uchaguzi mkuu uwe kila baada ya miaka na sio mitano kama ilivyo sasa.
Tamko la Serikali kuhusu zoezi la uhakiki wa korosho