Tangu Jumamosi usiku utakua umesikia sana neno Kamwene na inaweza ikawa si mara ya kwanza kusikia neno hilo au maneno mengine kutokea katika kabila la Wahehe kutoka Mkoa wa Iringa Nyanda za Juu Kusini, lakini inawezekana una mchumba ambaye ana asili ya Iringa na mmepanga kuoana basi si vibaya Reporter wako amekusogezea hii kutoka kwa moja ya Mzee wa Kihehe kutueleza utamaduni wao.
BALAA LA MVUA YA ‘MAWE’ ARUSHA, MAMLAKA YATOA TAMKO, WANAOKULA BARAFU