Waziri Kairuki amesema Serikali inasikitika kwamba kifo cha Ruge Mutahaba kimetokea katika wakati ambapo moto wa uchumi wa viwanda na fursa za kibiashara umekolea katika nchi yetu wakati yeye alikuwa mwanga na dira ya wengi katika kuziendea Fursa.
“Upendo, uthubutu na kujiamini zilikuwa ni tunu zilizomsaidia kufanya aliyofanya…amefanya mengi na kugusa mengi” Waziri Kairuki
PART 2: ROMA KAFUNGUKA RUGE ALIVYOIPAMBANIA ‘PARAPANDA’