Leo March 6, 2019 Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imemhukumu kunyongwa hadi kufa mwalimu Respicius Mutazangira kwa mauaji ya aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kibeta, Sperius Eradius.
Mwalimu Heriet Gerald aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka kama nae ameachiwa huru.
MAISHA YA SOUDY BROWN BILA BOSS RUGE “HAKUTAKA TUFANYE UMBEA TU”