Mkuu wa Wilaya ya Longido Frank Mwaisumbe amesema vurugu zilizojitokeza jana nakusababisha mpaka kufungwa kwa zaidi ya Saa 11 ni kutokana na kijana anayejulikana kwa jina la Moha kutekwa na watu wasiojulikana wanaodaiwa kutoka Tanzania na kilichokuwa kinafanyika ni Polisi kumtafuta kinakupeleka vurugu hizo kuendelea.
“IMEBIDI NIJITOE MUHANGA, NIKAONA KINGANJA CHA MKONO”