Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo April 4, 2019 ili kuchangia mapendekezo ya Kamati ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge iliyopendekeza Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kusimamishwa na kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge kuanzia kwa kosa la kuunga mkono kauli iliyotolewa na CAG kwamba Bunge ni dhaifu na hapa anazimiliki dakika zake tano.
LIVE: Waziri Jafo asema “Inawezekana Rais Magufuli alilala vichakani”