Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola amelieleza Bunge kuwa Serikali imeweka utaratibu wa kuwasomesha shule za awali watoto ambao wanazaliwa na wazazi wao wakiwa gerezani ili kuwawezesha wasijihisi kuwa sehemu ya wafungwa, Lugola ametoa ufafanuzi huo baada ya Mbunge wa viti maalum CCM Angelina Malembeka aliyetaka kujua kwanini Serikali isiweke utaratibu wa kuwapa vifungo vya nje wafungwa wajawazito.
Vitambulisho vya Magufuli vyatolewa Kanisani, Mchungaji ahimiza waumini kufanya kazi