Mahakama Kuu Kanda ya Moshi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na upande wa utetezi la kukataa Shahidi wa 18 kwenda kuonyesha ulipokutwa mwili wa Mwanafunzi Humphrey Makundi na kukubaliana na maombi ya upande mashtaka ya kuahirisha ushahidi wa Shahidi wa 18 na kuendelea na Shahidi wa 19 ili kuruhusu Shahidi wa 18 kwenda eneo ambalo mwili wa Mwanafunzi wa Shule ya Scolastica Humphrey Makundi ulikuwa umetupwa juu ya maji.
MAGUFULI AKERWA “MZEE WA AJABU WEWE UKAOMBEWE, SHIKA SWEKA NDANI”