Leo April 30, 2019 Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Moshi imetembelea maeneo yaliyotajwa na mashahidi wa 18 na 19 katika shauri la mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi Humphrey Makundi.
Maeneo hayo ni eneo la Shule ya Sekondari ya Scholastica alilokuwa akisoma mwanafunzi Humphrey Makundi pamoja na eneo la Mto Ghona ulipookotwa mwili wa binadamu unaodaiwa kuwa wa mwanafunzi.
LIVE: “UNATAKA UFE? KUFA, SI UMETAKA MWENYEWE” RAIS MAGUFULI AJIBU