Leo June 29, 2019 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe kuhusu madereva wa malori kugomea mizani bandarini “Labda niwaambie kwamba hizi mizani (bandarini) haziondolewi, zimewekwa ili kudhibiti kiwango cha mizigo kinachopita kwenye barabara zetu. Tunachofanya ni kuboresha mazingira ili magari yatoke kwa haraka.”