Leo July 3, 2019 Mbunge wa Starehe Charles Kanyi maarufu kwa jina Jaguar ameachiwa huru na mahakama jijini Nairobi kwa dhamana ya zaidi ya Shilingi Milioni kumi baada ya kushtakiwa kwa tuhuma za uchochezi.
JAGUAR ALIVYOKAMATWA NA POLISI BUNGENI