Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ametoa tahadhari kwa wanawake wote ambao wamekuwa na tabia ya kutonyonyesha watoto wao kwa shana kwamba maziwa yao yataharibika pindi watakaponyonyesha kwa muda mrefu, Waziri Ummy ametoa maelekezo hayo leo August 1, 2019 wakati akizindua maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji.
“Kuna watu wanasema ukinyonyesha maziwa yanaharibika, muwaambie jamani lakini kuna saratani na sio kweli hata tumeona watu wamenyonyesha watoto kumi na bado saa sita ukiwaangalia”- Waziri Ummy Mwalimu
MAAMUZI YA LUKUVI KWA ALIYEDHULUMIWA MJENGO “NILIKUWA KICHAA”