Leo August 26, 2019 Rais Dkt. John Magufuli ameitisha mkutano na Maafisa Watendaji wa Kata Tanzania Bara, unaotarajiwa kufanyika Ikulu, DSM Septemba 2, 2019.
Ofisi ya Rais TAMISEMI imewaagiza Makatibu Tawala wa Mikoa kuwaruhusu watendaji hao na kuwalipa posho za kujikimu na nauli ili wafike mkutanoni.