Jamaa anayejulikana kwa jina la Masanja mkazi wa Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu amezua gumzo stand baada ya kunyang’anywa simu na mwanamke aliyechepuka naye kwa kumtuhumu kumuibia simu pamoja na kumrusha fedha walizokubaliana baada ya kutoka guest.
Mwanamke huyo amedai kwamba Mwanaume huyo alimdhulumu simu yake na kumrusha Elfu kumi waliyokubaliana kabla na jamaa usiku akaamka na kukimbia.
WANAFUNZI WAKIKE 100 WAPEWA BAISKELI ILI KUWAKWEPA BODABODA “WASIPEWE MIMBA”