Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na Kamishna wa Udhibiti na Usimamizi wa Mipaka Tanzania Samweli Mahirane wamemkamata Raia wa Rwanda ambaye alighushi cheti cha kuishi Tanzania tangu mwaka 1980 na kukutwa ashamiliki mali Nchini, ikiwemo ng’ombe zaidi ya 300 na mashamba.