Takwimu zinaonyesha wanaume wamekuwa wagumu kupima Afya zao na hata wale ambao wametambulika kuwa na Virusi vya UKIMWI wamekuwa wagumu kutumia dawa kwa kuhofia kuchekwa na jamii.
AyoTV imezungumza na Syriel Jackson Shayo ambae anatuambia alipata UKIMWI mwaka 1994 na kulikuwa hamna dawa ila aliishi mpaka sasa ambapo zipo dawa.
MKUU WA MKOA ALIVYOWACHALAZA VIBOKO WANAFUNZI 13 HADHARANI
https://youtu.be/y3fvQmKq744