Leonard Kushoka ni Mtanzania aliyebuni teknolojia ya nishati mbadala ya kutengeneza mkaa unaotokana na taka ngumu zitokanazo na mabaki ya mazao ya mimea na Juni 2018 katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira duniani alikuwa mshindi wa kwanza wa Tuzo katika Shindano la Teknolojia ya Nishati mbadala wa mkaa
Tuzo hiyo ilitolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira na kukabidhiwa na Mama Samiaa Saluhu Hassan
Kipindi anaanza ubunifu huo alizalisha kilo kumi za mkaa kwa siku na sasa mashine hiyo inazalisaha tani tatu za mkaa kwa siku.
RC AFUKUZA WANAFUNZI SHULE ALIOWACHAPA VIBOKO ‘WAENDELEE NA KESI MAHAKAMANI”