Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwa katika ukaguzi wa Miradi ya Afya amewabana Viongozi wa Wilaya ya Uyui baada ya kupokea taarifa ya kubadilishwa matumizi ya fedha kutoka Serikali kuu.
“Kipaumbele hapa ni Hospitali ya Wilaya hayo marumbano msubiri niondoke na kama mnavifaa hapa toa hapa peleka huko hela leta hapa sitaki kusikia habari zingine” RC Mwanri