Waziri Mkuu Majaliwa amesema baadhi ya maeneo Nchini yanakabiliwa na upungufu wa chakula kutokana na tatizo la hali ya hewa kwa kukosekana na mvua za kutosha hivyo Viongozi wa Serikali katika maeneo hayo wametakiwa kutoa taarifa sahihi kwa Wizara ya Kilimo ili ipeleke vyakula maeneo hayo.
WAZIRI MKUU AULIZWA KUHUSU MALALAMIKO SERIKALI ZA MITAA, ATOA KAULI