Mwili wa Mama mzazi wa Erick Kabendera amezikwa Kijijini kwao Katoma Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo watu mbalimbali wameudhuria akiwemo Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ambaye ameeleza hali ilivyokuwa kwa upande wao baada ya msiba kutokea huku akisema kuwa pamoja na utukutu wake alishindwa kupeleka taarifa za msiba kwa Erick Gerezani Segerea.