Wakati dunia ikiwa bado katika simanzi nzito ya kuondokewa na nguli kwenye mchezo wa Basketball Kobe Bryant, waandaaji wa Tuzo za Oscar wametoa taarifa kuwa watampatia tuzo ya heshima Kobe Bryant kutokana na mchango wake katika jamii, tuzo ambazo zinategemewa kufanyika February mwaka huu 2020.
Mara ya mwisho Kobe Bryant kupata tuzo hiyo ilikuwa ni mwaka 2018.