Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ambaye pia ni mlezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kagera amewasili Mkoani Kagera na kukutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Mkoani humo na kutumia nafasi hiyo kueleza hali ya Vitambulisho vya NIDA ilivyo kwa sasa.
KOCHA YANGA “TANZANIA HAKUNA ACADEMY NDIO MAANA WAFUNGAJI BUTU”