Ikiwa bado Mkuu wa mkoa wa Iringa, Ally Hapi anaendelea na ziara ya kuwasikiliza wananchi, sasa nimeipata hii ya mwananchi aliepewa kipaza sauti leo Machi 4, 2020 kutoa kero yake huko mkoani Iringa.