Hukumu ya kesi inayowakabili Viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pamoja na aliyekua Katibu Mkuu wa Chama hicho Dkt Vicent Mashinji inaendelea kusomwa hivi sasa katika Mahakama ya Halimu Mkazi Kisutu iliyopo jijini Dar es salaam.