Wizara ya Afya nchini Kenya imeagiza kufungwa kwa Baa zote nchini humo ili kuzuia kuenea kwa virusi vya corona, Migahawa ya chakula imeruhusiwa kuendelea na biashara lakini kwa sharti la kuwahudumia wateja kwa kuwafungia chakula wakale majumbani mwao yaani (take away).
Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Waziri wa Afya nchini Kenya, Mutahi Kagwe akitoa tamko hilo mbele ya waandishi wa Habari