Leo wizara ya madini imemtambua mchimbaji mdogo wa madini Saniniu Laizer kuwa billionea baada yakupata mawe makubwa mawili ya Tanzanite yenye thamani ya shilingi bilion 7.8.Bilionea huyo amesema ana mgodi wake na kwamba hajawahi kupata madini kama hayo
“Nimejisikia vizuri kwa sababu hii ni heshima kubwa sana Tanzania kupata jiwe la mfano, mimi sijawahi kupata jiwe kama hilo”-Laizer