Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brig. Jenerali Emmanuel Maganga amekabidhiwa fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Mvomero huku Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Prof. Kitila Mkumbo, akichukua fomu kugombea Ubunge katika Jimbo la Ubungo kupitia CCM.