Kama ulimzoea kila akidondosha goma jipya ni lalamiko za mapendo tu…. time hii kadondosha dundo la club… ni Mario Mabibi na Mabwana, goma lake jipya linaitwa ‘tikisa’ kasimama mwenyewe humo ndani na kampani ya Bebez na Brothers
MAAJABU: DUKA LISILO NA MLANGO WA MBAO WALA WA CHUMA NA HAKUNA ANAYETHUBUTU KUIBA