Kutoka Mkoani Dodoma leo July 20, 2020 aliyekuwa Spika wa Bunge la 11, Job Ndugai ameibuka mshindi kwa kupata kura 850 katika Jimbo la Kongwa na aliyemfuatia kwa wingi wa kura ni Samora Mshanga aliyepata kura 20.
Matokeo haya yanaweza kumfanya Job Ndugai kuendelea kutetea kiti cha Ubunge katika jimbo la Kongwa lililoko mkoani Dodoma.