Kwenye baadhi ya familia za Kitanzania Mtoto akionekana kutumia mkono wa kushoto huwa anakatazwa na Wazazi ambao wanaamini mkono wa kulia ndio sahihi kutumika kwenye kuandika na matumizi mengine mbalimbali.
Sasa leo ni siku ya watu wanaotumia mkono wa kushoto nami nakukutanisha na Watu maarufu duniani ambao wanatumia mkono wa kushoto kuandika na kuufanya kuwa mkono mkuu kama wengine wanavyoufanya wa kulia.
Pia nimekusogezea tafiti zilizofanywa kuhusiana na watu wanaotumia mkono maajabu yao.