Ni zaidi ya Miaka kumi tangu kusimama kwa huduma ya usafiri wa Meli ya Mv. Butiama ambayo ilikuwa ikifanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Nansio (Ukerewe), kutokana na ubovyo wa meli hiyo, historia mpya inaandikwa kwa kuanza tena Safari ya Meli ya New Butiama kutoka Mwanza kwenda Nansio Ukerewe.
AyoTV imezungumza na Mtendaji Mkuu wa huduma za Meli Erick Hamissi pamoja na Nahodha wa Meli Thomas Mgaya.