Kutoka Jamhuri ya Wapambanaji, leo tunae Witness Onesmo, Mwanamke ambaye anajishughulisha na kazi za kufunga madishi ya ving’amuzi Kigoma kwa muda wa miaka saba sasa na anakiri kazi hiyo inamsaidia kuendesha maisha.
“Nimeolewa Mume wangu ni Mwanajeshi, ni Mama wa Mtoto mmoja, nilienda VETA Kigoma nikasoma miaka mitatu, nikaanza ufundi wa ving’amuzi” – Witness