Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Philip Isdor Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais Philip Isdor Mpango Pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga mara baada ya mazungumzo Ofisini kwake Jijini Dodoma leo tarehe 16 Aprili, 2021.