Waandaaji wa Filamu ya F9 ( Fast & Furious 9) ambayo ni miongoni mwa zilizosubiriwa sana, wamesema filamu hiyo mpya itaanza kuoneshwa cinema kuanzia June 25, ni filamu iliyoandaliwa kwa bajeti ya $ milioni 200+, John Cena ni miongoni mwa walioigiza ndani, unaweza kutazama Trailer yenyewe hapa chini.