Mbunge wa Jimbo la Muheza, Hamis Mwinjuma akichangia mapendekezo katika muswada wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya maji kwa mwaka wa Fedha 2021/2022 uliowasilishwa Bungeni na Waziri Juma Aweso.
SERIKALI YAJIBU HOJA YA ASKOFU GWAJIMA KUHUSU CHANJO YA CORONA