Leo July7, 2021 Rais wa Haiti, Jovenel Moise ameuawa katika shambulio akiwa nyumbani kwake mjini Port huku mkewe akijeruhiwa.
Katika taarifa, Joseph alisema kundi la watu wasiojulikana walihusika na mauaji hayo, ambayo aliyaita kitendo cha kuchukiza, kisicho cha kibinadamu na kishenzi
Rais wa Haiti, Jovenel Moise ameuawa kwa kupigwa risasi, katika shambulizi lililotokea kwenye makazi yake binafsi, waziri mkuu wa mpito, Claude Joseph alisema Jumatano.
Katika taarifa, Joseph alisema kundi la watu wasiojulikana walihusika na mauaji hayo, ambayo aliyaita kitendo cha kuchukiza, kisicho cha kibinadamu na kishenzi.
Alisema pia mke wa Moise, Martine alijeruhiwa na kupelekwa hospitali kwa matibabu. Haiti imekuwa ikishuhudia udhaifu wa kisiasa na mgawanyiko pamoja na ongezeko la ghasia za magenge.